DKT. NCHEMBA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UGANDA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Uganda, Mhe Meja Jenerali Paul Simuli, alipotembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzania zilizopo Kampala nchini Uganda, baada ya kuhitimisha Mkutano wa 50 wa Benki ya Maendeleo Afrika Mashariki (EADB), ambapo aliwapongeza Mhe. Balozi wa Tanzania nchini humo na watumishi wa…

Read More

UN inahimiza mabadiliko ya pamoja kama Syria inaashiria miaka 14 ya migogoro – maswala ya ulimwengu

Mjumbe maalum wa UN kwa Syria, Geir Pedersen alitaka mwisho wa uhasama na aliwasihi pande zote kulinda raia kulingana na sheria za kimataifa. “Kilichoanza kama ombi la mageuzi kilifikiwa na ukatili wa kushangaza, na kusababisha moja ya mizozo ya wakati wetu“Alisema katika a taarifa Siku ya Ijumaa, kukumbuka maandamano ya amani ya demokrasia ambayo ilianza…

Read More

Rais Samia anavyopigania kuirejesha Tanga ya viwanda

Na: Dk. Reubeni Lumbagala Mkoa wa Tanga una historia kubwa katika nchi yetu ya Tanzania. Moja ya historia kubwa ni kuwa mkoa uliokuwa na viwanda vingi katika miaka ya 1970 na 1980. Viwanda hivi vilikuwa nyenzo muhimu ya kuchagiza maendeleo ya Tanga kwa kuzingatia mnyororo mkubwa wa thamani uliopo kwenye viwanda.  Ni katika viwanda hivyo…

Read More

Wasira atwishwa kero tatu mjini Tunduma

Tunduma. Wananchi wa Mji wa Tunduma wamewasilisha kwa Chama cha Mapinduzi (CCM), kero tatu zinazowakabili zikiwamo za uhaba wa maji na bodaboda kunyanyaswa na Polisi. Changamoto nyingine ni msongamano wa malori kwenye barabara kutoka Mbeya hadi Tunduma. Wananchi wamesema ili CCM kijihakikishie ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 lazima zitatuliwe. Kero hizo…

Read More

Mauaji ya wanawake yapungua kwa asilimia 81 Geita

Geita. Mauaji ya wanawake yanayotokana na matukio ya ukatili wa kijinsia mkoani Geita yamepungua kutoka vifo 37 mwaka 2023 hadi saba mwaka 2024 (sawa na asilimia 81). Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amesema hayo leo Machi 15, 2024 wakati wa sherehe za mtandao wa Polisi wanawake mkoani humo. Amesema mbali na kupungua…

Read More

Wakulima wataka kushirikishwa maandalizi ya bajeti

Dodoma. Serikali imelalamikiwa kutowashirikisha wakulima kwenye maandalizi ya bajeti zake kuanzia ngazi ya chini na badala yake wanapeleka maendeleo kwa maagizo. Wawakilishi wa wakulima kutoka Wilaya za Chamwino (Dodoma) na Halmashauri ya Singida wametoa kauli hiyo leo Jumamosi Machi 15, 2025 wakati wa mafunzo ya ushirikishwaji wa maandalizi ya bajeti na hasa zinazogusa sekta ya…

Read More

BALOZI NCHIMBI ACHANGISHA SH. 950 MILIONI KWA MATIBABU YA WAGONJWA WA MGUU KIFUNDO

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amefanikisha uchangishaji wa shilingi milioni 950 kwa ajili ya matibabu ya watoto wapatao 400 wanaougua ugonjwa wa mguu kifundo. Kiasi hicho cha fedha kimepatikana kupitia ahadi za wadau mbalimbali walioshiriki hafla ya futari maalum kwa harambee hiyo, iliyofanyika Machi 14, 2025, katika Ukumbi…

Read More