WASIRA ATOA RAI KWA VIJANA KUGOMBEA UBUNGE,UDIWANI KATIKA UCHAGUZI MKUU 2025

Na Said Mwishehe,Ileje VIJANA wenye sifa jitokezeni kugombea nafasi za ubunge na udiwani katika uchaguzi Mkuu mwaka huu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu. Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara Stephen Wasira alipokuwa akizungumza na wanachama wa Chama hicho Wilaya ya Ileje mkoani Songwe. Wasira amesema kwa vijana ambao wanajiona…

Read More

BANK OF AFRICA YAZIDI KUBORESHA HUDUMA ZAKE KWA WATEJA

Na Mwandishi, Michuzi Tv BANK OF AFRICA Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuwekeza katika huduma bora kwa wateja wake ili kuchochea maendeleo ya kifedha na ukuaji wa uchumi nchini. Akizungumza kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Wasia Issa Mushi,…

Read More

Polisi Geita yachunguza kifo cha mchimbaji mdogo

Geita. Jeshi la Polisi mkoani Geita linachunguza kifo cha mchimbaji mdogo wa madini, Emmanuel Sitta (25), mkazi wa Nyakabale, anayedaiwa kuingia kinyemela kwenye mgodi wa dhahabu wa Geita na kupatikana akiwa na jeraha kichwani, kisha kupoteza maisha wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Manispaa ya Geita. Taarifa ya maandishi iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa…

Read More

“MSIGWA”BANDARI YA KWALA ITAPUNGUZA GHARAMA YA UCHELEWESHWAJI WA MIZIGO,KUIMARISHA MAZINGIRA KIBIASHARA NA UWEKEZAJI NCHINI

 Serikali ya Tanzania, kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), imewekeza katika ujenzi wa Bandari Kavu ya Kwala, mradi wa kimkakati unaolenga kuongeza ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam na kuifanya kuwa kitovu bora cha biashara kwa nchi jirani. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Machi 16, 2025, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa,…

Read More

Ada-Tadea kutoa fomu bure kwa wagombea wanawake na wenye ulemavu

Simiyu. Chama cha African Democratic Alliance Party (Ada-Tadea) kitatoa fomu bure kwa wagombea wanawake na wenye ulemavu watakaojitokeza kuwania nafas za urais, ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu ujao. Katibu mkuu wa chama hicho, Salehe Msumari amesema hayo leo Jumapili Machi 16,2025 mjini Maswa wakati akiwapokea wanachama wapya 100 waliojiunga na chama hicho kutoka vyama mbalimbali…

Read More

Wasira awapa mbinu vijana uchaguzi mkuu 2025

Ileje. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema pazia la Uchaguzi Mkuu 2025, likifunguliwa vijana wanaojiona wanasifa wajitokeze kwenye kinyang’anyiro kugombea nafasi ya udiwani na ubunge bila kuwahofia watakaokuwa wanatetea. Kimesema hakuna mwenye haki miliki ya kushikilia nafasi hizo kwa miaka mitano, isipokuwa leseni zinapatikana kupitia kinyang’anyiro cha kushawishi wananchi na mwenye nguvu ya kushawishi wanapata ridhaa….

Read More