
JAB kusimamia pia Mfuko wa Mafunzo kwa Waandishi-Wakili Kipangula
Na Mwandishi wetu, JAB. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari, Wakili Patrick Kipangula amesema mbali na kutekeleza majukumu ya msingi yaliyoainishwa kisheria, bodi hiyo itakuwa na wajibu wa kusimamia Mfumo wa Mafunzo kwa Waandishi wa Habari nchini. Wakili Kipangula amesema hayo leo Jumatatu tarehe 17 Machi, 2025 jijini Dar es…