Kupunguzwa kwa fedha kuna athari kubwa kwa jamii zilizo hatarini, kuzidisha migogoro ya kibinadamu na kudhoofisha mifumo muhimu ya msaada kwa idadi ya watu waliohamishwa,
Day: March 18, 2025

Wanawake wa Manipur, India, hatua ya mgomo wa njaa. Kumekuwa na vurugu kati ya makabila katika mkoa huo, kuzidishwa na uamuzi wa kutambua kundi moja,

Mkurugenzi Mkuu wa VETA CPA Anthony Kassore akitoa maalezo kuhusiana na mikakati ya VETA kwenye maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwake jijini Dar es

Na Said Mwishehe, Rungwe MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Steven Wasira, ameiagiza Kampuni ya GDM kuhakikisha inalipa madeni ya wakulima wa kahawa

Na Beatus Maganja, Mbeya. Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imekutana leo Machi 18, 2025 Jijini Mbeya Kwa ajili

Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga, Mboni Mhita (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Meneja Msaidizi huduma mkoa wa kikodi wa Kahama, George Kazumba kama

18 Machi,2026, Njombe KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekamilisha ziara yake ya siku tatu mkoani Njombe kwa kukagua utekelezaji wa miradi

Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na teknolojia ya Karume (KIST), Dkt. Mohammed Abdulwahab Alawi akiwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Sekondari Tumekuja wakati alipotembelea maonesho katika

Na mwandishi wetu Benki ya NMB imeshiriki na kudhamini Jukwaa la Kujadili Masuala ya Maji lililofanyika jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho

Dar es Salaam. Mchungaji Daud Nkuba, maarufu Komando Mashimo, amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela baada ya kupatikana na hatia katika makosa mawili, kuingia kijinai