RAYVAN CHUI AZINDUA PROMOSHENI YA KULA SHAVU

STAR wa Muziki nchini Tanzania Rayvan maarufu Kama Chui amezindua promosheni mpya ya “Kula shavu” kupitia Kampuni ya mchezo wa Kubashiri ya Pigabet. Akizungumza na Wanahabari Leo Jijini Dar es Salaam Chui amesema Kampuni hiyo ya Ubashiri inawapa nafasi kwa watakaojisajili kwa mara ya Kwanza kwa kutumia Kodi ya “chuo” watapata Bashiri za bure zenye…

Read More

Wadau watofautiana wahitimu elimu ya juu, kwenda Veta

Dar es Salaam. Mjadala wa wahitimu wa vyuo vikuu kwenda kupata ujuzi vyuo vya ufundi stadi (Veta) bado haujapoa. Wadau mbalimbali wameuendelea wakichambua kwa mitazamo tofauti. Msingi wa mjadala huo ni ushauri alioutoa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha umuhimu wa wahitimu wa vyuo vikuu wakiwamo wenye shahada kwenda kujiunga Veta kusoma ujuzi. Mwanzoni mwa wiki…

Read More

Serikali yaongezwa muda kujitetea kesi ya kura ya maoni

Tabora: Mahakama Kuu Masjala Ndogo Tabora imesogeza mbele tarehe ya usikilizwaji wa awali wa shauri la kura ya maoni kuhusu upatikanaji wa Katiba mpya. Shauri hilo la maombi mchanganyiko namba 3965/2025 limefunguliwa na mwanasheria, Alexander Barunguza dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC, zamani Tume ya Taifa ya Uchaguzi – NEC) na Mwanasheria…

Read More

Vyama vinavyohamasisha kujiandikisha, Chadema ikiweka ngumu

Dar es Salaam. Vyama mbalimbali vya siasa vimesema vinatumia kila mbinu inayowezekana kuhamasisha wanachama wao wajiandikishe katika daftari la kudumu la mpiga kura, huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikiwa na msimamo tofauti. Msimamo wa Chadema, kwa mujibu wa Katibu Mkuu wake, John Mnyika, ni ajenda ya ‘No Reform, No Election’ (hakuna mageuzi, hakuna…

Read More

Kinachofuata baada ya Mchungaji Mashimo kutupwa jela 

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Mchungaji Daud Nkuba, maarufu Komando Mashimo, kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela na kulipa fidia ya Sh5 milioni, ameamua kukata rufaa Mahakama Kuu ya Dar es Salaam kupinga huku hiyo. Mchungaji Komando Mashimo alihukumiwa adhabu hiyo jana Jumanne, Machi 18, 2025 katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, baada…

Read More

Askofu Rweyongeza atema nyongo kwenye jubilei

Mwanza. Kanisa Katoliki limeitaka Serikali kuheshimu fani  ya ualimu na kurejesha hadhi yake ikiwamo walimu kulipwa mshahara unaolingana na wabunge na mawaziri au zaidi pamoja na kuwaondolea kikokotoo. Akizungumza leo Jumatano Machi 19, 2025 kwenye Jubilei ya miaka 25 ya Uaskofu wa Askofu Methodius Kilaini na miaka 53 ya upadri iliyofanyika Bukoba mkoani Kagera, Askofu …

Read More