Ufadhili wa Amerika Kufungia Mgogoro wa Ulimwenguni katika Haki za Binadamu na Demokrasia – Maswala ya Ulimwenguni

Usambazaji wa mchele kwa jamii zilizo hatarini huko Port-au-Prince, Haiti, na USAID, Picryl. Maoni na Tanja Brok (Hague, Uholanzi) Jumatano, Machi 19, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Hague, Uholanzi, Mar 19 (IPS) – uchunguzi mpya uliofanywa na Mfumo wa EU kwa mazingira ya kuwezesha . Pamoja na 67% ya mashirika yaliyochunguzwa moja kwa moja…

Read More

Serikali kufanya sensa ya uzalishaji viwandani

Dar es Salaam. Wakati Serikali ikitarajia kufanya sensa ya uzalishaji viwandani mwaka huu, wamiliki wametakiwa kutoa ushirikiano unaohitajika kufanikisha kazi hiyo. Mara ya mwisho sensa ya aina hiyo ilifanyika mwaka 2013 iliyoonyesha idadi ya viwanda vilivyokuwepo ni 49,243 ndani yake vikiwamo vidogo kabisa, vidogo, vya kati na vikubwa. Sensa hiyo itakusanya taarifa muhimu za kiwanda,…

Read More

EWURA YAPOKEA MAONI YA WADAU KUHUSU UBORA WA HUDUMA

Mhandisi Mwandamizi wa Maji na Usafi wa Mazingira Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Amani Nyekele akiwapitisha washiriki wa mkutano katika vipengele vya Kanuni vinavyopendekezwa kuboreshwa, wakati wa mkutano wa EWURA na Watendaji wa Mamlaka za Maji nchini jijjni Dar es Salaam leo 20 Machi 2025 Na.Mwandishi Wetu-Dar es Salaam: Mamlaka…

Read More

WANYAMAPORI WAPAMBA SIKU YA MISITU DUNIANI

    Na John Mapepele  Kwa mara ya kwanza  katika historia ya maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani ya mwaka huu  hapa nchini yanayofanyika katika viwanja vya Saba Saba Mjini Njombe  Wizara ya Maliasili na Utalii imeandaa maonesho maalum ya mnyororo wa thamani wa sekta ya misitu pamoja na Wanyamapori. Kwa vipindi tofauti wakikagua maandalizi…

Read More

Waziri Ulega ‘awafyatua’ watumishi mizani

Dodoma. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewasimamisha kazi watumishi wa mizani waliokuwa zamu katika mizani kutoka Tunduma, Mkoa wa Songwe, hadi Vigwaza, Mkoa wa Pwani, kupisha uchunguzi. Agizo hilo limetolewa leo, Alhamisi, Machi 20, 2025, na Waziri Ulega, ambaye ameunda timu ya wataalamu kuchunguza tuhuma zinazowagusa watumishi hao waliokuwa zamu Machi 13, 2025. Hatua hiyo…

Read More