
ASMA MWINYI AFTARISHA WATU WA SURA MFANANO
Na Madina Khatib, Zanzibar NAIBU Waziri ya maendeleo ya jinsia, wazee na watoto Zanzibar, Anna Athanas Paul, amesema taasisi ya Asma Mwinyi Foundation imekuwa na mchango mkubwa katika jamii hasa katika kuhakikisha kuwa haki za watoto na watu wenye ulemavu wakiwemo wenye sura mfanano zinaendelezwa na kuheshimiwa. Akizungumza katika hafla ya Iftar iliyoendana na maadhimisho…