
WASOMI WATAKA CHADEMA WAFUATE USHAURI WA RAILA ODINGA
*Wasema majadiliano ni njia bora ya kupata suluhu ya masuala yao Wachambuzi wa siasa na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Richard Mbunda na Dk. Frolence Rutechura, wamewashauri viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufuata ushauri wa mwanasiasa mkongwe wa Kenya, Raila Odinga, wa kutafuta suluhu kwa njia ya majadiliano…