
TCAA YAJENGA MSHIKAMANO KUPITIA FUTARI NA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM
Hafla hiyo, iliyofanyika katika Makao Makuu ya TCAA jijini Dar es Salaam, ilihudhuriwa na viongozi wa mamlaka hiyo pamoja na wadau wa sekta ya anga. Wanafunzi walipata fursa ya kushiriki chakula cha futari na kupokea zawadi kama sehemu ya mshikamano na upendo kutoka kwa jamii inayowazunguka. Akizungumza katika hafla hiyo, Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Salim…