Kuongezeka kwa wazee – maswala ya ulimwengu

Chanzo: Umoja wa Mataifa. Maoni na Joseph Chamie (Portland, USA) Jumanne, Machi 25, 2025 Huduma ya waandishi wa habari PORTLAND, USA, Mar 25 (IPS) – karne ya 20 ilileta kuongezeka kwa wazee. Wakati wa karne ya 21, wazee kwa sababu ya kuongezeka kwa idadi yao na idadi kubwa ya idadi ya watu itazidi kuathiri sera,…

Read More

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA DRC AWASILI NCHINI

Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mhe. Antonie Tshisekedi ambaye pia ni  Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Therese Kayikwamba Wagner amewasili nchini. Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam Mhe. Wagner amelakiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…

Read More

‘Sikukuu ilete furaha na siyo maafa kwa watoto’

Sherehe za sikukuu, mbali na kutoa fursa kwa watoto kucheza na kufurahi, pia ni wakati mzuri wa kutoa mafunzo kuhusu ushirikiano na kusaidiana kati ya wakubwa na wadogo. Wiki ijayo, watoto wa Zanzibar, kama wenzao wa Bara, wanatarajiwa kumiminika kwenye viwanja kusherehekea Sikukuu ya Idd el-Fitr baada ya kumaliza mfungo wa mwezi wa Ramadhani. Hata…

Read More

Chadema yawaita Dar watia nia ubunge, udiwani

Dar es Salaam. Wakati viongozi wa Chadema wakiendelea kuinadi kampeni ya ‘No Reforms No Election’ katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, chama hicho kimewaita walioomba (watia nia) wa nafasi mbalimbali kwenye kikao maalumu cha kujadili hali ya kisiasa. Kikao hicho kitakachofanyika Aprili 3, 2025 katika ofisi za makao Makuu ya Chadema, jijini Dar es…

Read More