Wananchi mbalimbali Machi 25, 2025 wamefika katika Kituo cha Polisi Mbweni ambako mwanadada aitwaye Tumaini almaarufu Hope Brand anashikiliwa kwa tuhuma za kuwatapeli fedha zao kupitia kuchezesha michezo ya upatu na Vicoba kupitia magroup ya WhatsApp.