
Ndege yakatisha safari kisa rubani kusahau pasipoti
Abiria 257 wa Shirika la Ndege la United Airlines walikumbwa na mshangao baada ya ndege yao kurejea ghafla Marekani, ikiwa safarini kuelekea Shanghai, China kisa mmoja wa marubani alikuwa amesahau pasipoti. Ndege hiyo aina ya Boeing 787, iliyokuwa ikitekeleza safari ya UA 198, iliondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Los Angeles (LAX) mnamo Jumamosi,…