
Serikali kuendeleza ukaribu na sekta binafsi
Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema ushirikiano kati ya Serikali na sekta binafsi ni muhimu katika kukuza uwekezaji pamoja na uchumi kupitia nyanja mbalimbali za maendeleo nchini. Katika kuimarisha hilo, Balozi Kombo amesema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wa Jukwaa la Wakurugenzi Watendaji…