
RC LINDI AZINDUA UGAWAJI WA PIKIPIKI NA VISHIKWAMBI KWA MAAFISA UGANI WA BBT-KOROSHO
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack amezindua ugawaji wa vitendea kazi,pikipiki 152 na vishikwambi 152 kwa ugani ambao wameajiriwa na bodi ya Korosho kupitia programu ya jenga kesho iliyo bora (BBT) ili kuwafikia wakulima wa zao hilo kwa urahisi Mkoani Lindi. Hayo ni katika kuhakikisha kunakuwa na mabadiliko chanya katika tasnia ya korosho na…