
NMB yafuturisha Z’bar, ikiahidi ‘kulea’ Yatima 106 Mwezi wa Ramadhani
NA MWANDISHI WETUSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imekiri kuvutiwa na mchango mkubwa wa Benki ya NMB kwa makundi mbalimbali ya kijamii, ikiwemo kusaidia utatuzi wa changamoto za Watoto Yatima na Wanaoishi Kwenye Mazingira Magumu, iliyoutaja kuwa ndio siri ya mafanikio yaliyotukuka ya benki hiyo inayopata siku baada ya siku. Hayo yamesemwa na Spika wa…