
Majina walimu wapya walioajiriwa serikalini haya hapa
Dar es Salaam. Serikali imewaita kazini walimu wapya 319 wa fani mbalimbali ambapo halmashauri saba zimenufaika na ingizo hilo jipya la walimu. Taarifa ya kuitwa kazini kwa walimu hao imetolewa jana Machi 12, 2025 na Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. “Katibu wa Sekretarieti ya Ajira anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi…