
Hivi hapa vichocheo vya magonjwa ya figo, gharama tatizo
Dar es Salaam. Licha ya uzito uliozidi, matumizi ya sigara na pombe kali kuwa vichocheo vya magonjwa sugu ya figo, wataalamu wameonya unywaji holela wa dawa hasa zile zisizothibitishwa na mamlaka zinachangia kwa kasi tatizo hilo. Wakati dunia ikiadhimisha siku ya figo leo Machi 13, 2025, wataalamu wa afya wameeleza hatari zinazoweza kusababisha maradhi ya…