
Profesa Assad, Mhadhiri UDSM wawapiga darasa vigogo Chadema
Dar es Salaam. Viongozi mbalimbali wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiwemo wajumbe wa kamati kuu watajifungia kwa siku mbili kupigwa darasa la uongozi. Mafunzo hayo kwa viongozi akiwemo Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu yameanza leo Jumatano, Machi 12, 2025 makao makuu ya chama hicho, Mikocheni jijini Dar es Salaam. Walengwa wa mafunzo hayo…