Rais Samia ateua wenyeviti wa bodi

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa  viongozi mbalimbali wa wenyeviti wa bodi na kumuongezea muda Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (Tafiri). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka, Dk Ismael Aaron Kimirei ameteuliwa kushika wadhifa  katika kipindi cha pili. Naye Balozi Ernest…

Read More

Wataalamu waonya matumizi mabaya ya vitimwendo

Dar es Salaam. Matumizi ya viti mwendo visivyo sahihi yanatajwa kusababisha matatizo makubwa ya kiafya kwa watu wenye changamoto za ulemavu wa miguu, wataalamu wameonya. Vitimwendo vinachukuliwa kuwa msaada muhimu kwa watu wenye changamoto za ulemavu wa miguu. Hata hivyo, iwapo havitachaguliwa ipasavyo, vinaweza kusababisha matatizo makubwa ya kiafya badala ya kusaidia hali ya mtumiaji….

Read More

Kaya maskini Dar zapewa kodi, Chalamila atia neno

Dar es Salaam. “Umaskini sio ugonjwa wa kudumu’. Haya ni maneno aliyoyarudia mara kadhaa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila wakati akizindua mpango wa ruzuku ya kodi kwa kaya maskini zinazoishi kando kando ya barabara za mwendo wa haraka. Mkuu huyo wa mkoa ameeleza kushangazwa na watu wanaokumbatia umaskini kama kitu cha…

Read More

Rais ateua watano, yumo kigogo wa TPA

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa  viongozi mbalimbali wa wenyeviti wa bodi na kumuongezea muda Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (Tafiri). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka, Dk Ismael Aaron Kimirei ameteuliwa kushika wadhifa  katika kipindi cha pili. Naye Balozi Ernest…

Read More

Timu hizi ukilenga tu, imooo!

LIGI Kuu Bara inatarajiwa kuendelea tena kesho kwa mchezo wa kiporo baina ya Simba dhidi ya Dodoma Jiji ikiwa ni funga hesabu kwa mechi za raundi ya 23 kabla ya ligi hiyo kusimama hadi Aprili Mosi kupisha kalenda ya mechi za kimataifa kwa timu za taifa na michuano ya Kombe la Shirikisho. Hata hivyo, wakati…

Read More

EAC wazindua mradi wa Sh31 bilioni kusaidia kilimo

Arusha. Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imezindua mradi wa kuendeleza kilimo wenye thamani ya Sh31.25 bilioni unaolenga kuongeza uzalishaji wa kilimo na uendelevu wake katika ukanda huo.  Mradi huu wa miaka mitatu, unaojulikana kama ‘Sustainable Regional Agricultural Extension’ (ENSURE), unafadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa lengo la kuimarisha huduma za ugani, kuongeza…

Read More

Tajirika na Duka la Kasino ya Mtandaoni, Lucky Betting Shop!

KUCHEZA kasino sio lazima ufike kwenye maduka la kasino yaliyopo mtaani, Meridianbet imerahisisha kazi yako, kupitia kasino ya mtandaoni utapata wasaa wa kucheza michezo ya sloti na kasino kirahisi kabisa. Mchezo wa kasino ya mtandaoni. Lucky Betting Shop ni mashine ya sloti inayofurahisha na kukupa zawadi kedekede kwenye michezo. Kumbuka, sio ubashiri wa kasino ya…

Read More

Wadau wa Madini Shinyanga wanufaika na uwepo wa Soko la Madini

-Wadau wapongeza uwepo wa ubao wa kidigitali wa kuonesha bei elekezi za madini Wadau wa madini wakiwemo wachimbaji, wachenjuaji na wafanyabiashara wa madini katika mkoa wa Shinyanga wamepongeza uwepo wa Soko la Madini-Shinyanga, ambalo tangu kuanzishwa kwake limekuwa msaada mkubwa ambapo madini yanauzwa kulingana na bei elekezi inayoendana na soko la dunia ambayo huoneshwa kwenye…

Read More