
Benki ya NBC Yajizatiti Kushirikiana na Halmashauri Kudhibiti Upotevu wa Mapato, Kuunga Mkono Agizo la Rais Samia.
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kushirikiana na halmashauri pamoja na mamlaka zote za tawala za mikoa na serikali za mitaa katika kuboresha ukusanyaji wa mapato kwa njia za kidijitali na kuongeza uwazi katika mifumo ya fedha ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Rais Samia Suluhu Hassan linalozitaka mamlaka…