
Karia aula CAF, Motsepe minne tena urais
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameibuka mshindi wa kiti cha ujumbe wa kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) katika uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo unaofanyika leo huko Cairo,Misri. Karia ameshinda kwa kura nyingi za ndio kwa vile alikuwa mgombea pekee wa nafasi hiyo kuwakilisha…