Familia za Syria zilitekelezwa, Duterte alikamatwa kwa dhamana ya ICC, Kuanguka kwa Huduma ya Afya ya Sudan – Maswala ya Ulimwenguni

Akiongea huko Geneva, Ohchr Msemaji wa Thameen Al-Kheetan alisema kuwa watu 111 wamethibitishwa kuwa wamekufa hadi sasa. Ripoti za vyombo vya habari zinaonyesha idadi ya vifo vya kweli inaweza kuwa karibu na 1,000 baada ya vikosi vya usalama kuungana na viongozi wa walezi wa Syria wanaodaiwa kulenga jamii katika maeneo ya pwani ambayo inawakilisha nguvu…

Read More

Msigwa awaita CAF wakague uwanja wa Benjamin Mkapa

Baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (CAF) kutoa tangazo la kuufungia Uwanja wa Michezo wa Benjamin Mkapa, Serikali imesema walitakiwa kuwasiliana nao kabla ya kuufungia kwa sababu ulishakarabatiwa. Akizungumza leo Machi 12,2025, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,Gerson  Msigwa amethibitisha kupokelewa kwa tangazo la kuufungia uwanja huo leo asubuhi….

Read More

Huu ndiyo mwelekeo mpya wa TLP ya Lyimo

Ni zama mpya kwa chama cha TLP baada kuingia madarakani kwa mwenyekiti mpya, Richard Lyimo, mwenye maono, fikra, ndoto na matamanio tofauti na ya mtangulizi wake, Augustino Mrema ambaye alikiongoza chama hicho kwa zaidi ya miongo miwili na nusu. Lyimo alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa TLP, Februari 2, 2025, katika uchaguzi uliotawaliwa na migogoro hadi kufikia…

Read More

Lugha ya kihaya ilivyosababisha mwenendo wa kesi kufutwa

Bukoba. Mahakama imefuta mwenendo wa hatua za awali za uhamishaji wa shauri la mauaji (committal Proceedings) kutoka Mahakama ya chini kwenda Mahakama Kuu, kwa kuwa mshtakiwa haelewi lugha ya Kiswahili wala Kiingereza. Badala yake, mshtakiwa huyo, Mugisha John anazungumza lugha ya Kihaya pekee hivyo Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba imefuta mwenendo huo wa uhamishaji wa…

Read More

Mmoja Morogoro asombwa na maji, akutwa kwenye karavati

Morogoro. Mwanaume mmoja ambaye hajafahamika jina, mkazi wa kata ya Mkundi, mkoani Morogoro amenusurika kufa baada ya kusombwa na maji kufuatia mvua iliyonyesha kuanzia jana jioni hadi leo Jumatano, Machi 12, 2025 alfajiri. Mvua hizo ambazo zinanyesha maeneo mbalimbali nchini kama zilivyotabiriwa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), ambapo zilitoa tahadhari za kuchukuliwa…

Read More

Mbele ya Mpanzu kazini kwa Balua kuna kazi

EDWIN Balua alikuwa miongoni mwa wachezaji waliotarajiwa kung’ara ndani ya kikosi cha Simba SC msimu huu, hasa baada ya kuonyesha kiwango bora chini ya Juma Mgunda mwishoni mwa msimu uliopita 2023/24. Uwezo wake wa kucheza nafasi tofauti kwenye safu ya ushambuliaji ulimfanya awe mmoja wa wachezaji waliokuwa na nafasi nzuri ya kuendelea kung’ara. Hata hivyo,…

Read More