
Aliyeua mwizi wa ng’ombe ahukumiwa kifo
Arusha. Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Iringa, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Elias Ngaile, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua Luka Mang’wata kwa kumkata na panga akimtuhumu kumuibia ng’ombe. Tukio hilo lilitokea Mei 21, 2024 katika Kijiji cha Lundamatwe, Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa ambapo siku ya tukio, Elias akiwa na wenzake walienda…