
Ripoti ya Fadlu yamvuta Fei Toto Msimbazi
ACHANA na kile kinachoendelea Msimbazi kwa sasa juu ya Simba kugomea mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga uliotakiwa kupigwa Jumamosi, Machi 8, mwaka huu, kando ya hilo kuna mambo mengi yanayoendelea, lakini za ndaani ni kwamba mabosi Msimbazi wanaendelea kujipanga na msimu ujao. Unaambiwa kwamba katika kipindi hiki ambacho ulimwengu wa wapenzi wa…