
Wagombea viti maalumu CCM kupigiwa kura na wajumbe hawa
Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza wajumbe watakaoshiriki mchakato wa kuwapigia kura watia nia wa ubunge na udiwani wa viti maalumu kupitia jumuiya zake za vijana (UVCCM), wanawake (UWT) na Wazazi. Hatua hiyo ni baada ya chama hicho, kufanya marekebisho ya kanuni za uteuzi wa wagombea uongozi katika vyombo vya dola, uliohusisha upanuzi…