
Watafiti Russia waleta ujuzi wa misitu nchini
Morogoro. Wataalamu wa misitu kutoka Russia wametembelea Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (Tafori), ambapo wamejadiliana mambo mbalimbali ya kuitafiti yatayosaidia kuifanya sekta ya misitu nchini kuwa bora zaidi. Katika mazungumzo hayo yaliyowahusisha pia maofisa wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), wakiongozwa na kamishna wa uhifadhi, Profesa Dos Santos Silayo, watalaamu hao waliobobea…