KONGAMANO LA TATHIMINI YA UJENZI WA HOSPITALI YENYE MAADILI YA KIISLAMU LAFANYIKA TANGA

Na Oscar Assenga, TANGA KONGAMANO la Tathimini ya Ujenzi wa Hospitali itakayosimamia maadili ya Kiislamu limefanyika Jijini Tanga huku wadau wa maendeleo nchini wakiombwa kuchangia kufanikisha ujenzi huo ambao utakuwa chachu kwa kutoa huduma kwa maadili ya kiislamu.Akizungumza wakati wa kongamano hilo Mwenyekiti wa Taasisi ya Tanga Islamic Development Foundation (TIDF) ujenzi wa Hospitali hiyo…

Read More

Beki Azam atua Ulaya | Mwanaspoti

BEKI wa kushoto raia wa Senegal, Cheick Sidibe amejiunga na klabu ya HJK Helsinki ya Finland akiwa mchezaji huru baada ya kuachana na matajiri wa Chamazi, Azam FC. Usajili huu unamfanya Sidibe kuwa mchezaji mpya wa kikosi hicho kinachoshiriki Ligi Kuu ya Finland, maarufu kama Veikkausliiga.  Sidibe amesaini mkataba wa miaka miwili na klabu hiyo,…

Read More

Jela miaka mitano kwa wizi wa nguruwe

Simiyu. Washtakiwa wawili kila mmoja amefungwa miaka mitano jela kwa wizi wa nguruwe. Waliokumbwa na adhabu hiyo katika Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu ni Masunga Chenya(20)na Daud Elias(19) wakazi wa Mtaa wa Sola mjini Maswa. Kabla ya hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Aziz Khamis kutoa hukumu hiyo leo Jumanne Machi 11,2025, Mwendesha mashitaka…

Read More

Samia awatega Ma-DC, DED, watumishi wanaotaka ubunge

Dar/Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka wakuu wa wilaya (DC), wakurugenzi wa halmashauri (DED) na watumishi wengine wa Serikali wanaotaka kujitosa katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu kutoa taarifa mapema, la sivyo watakosa vyote. “Kuna Ma-DED wangu, wakuu wa wilaya… wana hamu sana kurudi kwa wananchi. Nilimwambia Katibu Mkuu Kiongozi apeleke mwongozo wa Serikali za…

Read More

CCM yaweka ukomo viti maalumu

Dar/Dodoma. Mjadala wa kuitaka ukomo wa udiwani na ubunge wa viti maalumu ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) umepata majibu. Majibu hayo yamepatikana baada ya chama hicho kuridhia uwakilishi huo kwa upande wa viti maalumu uwe vipindi visivyozidi viwili (miaka 10). Kumekuwa na sauti za makada ndani ya nje ya chama hicho, zitaka uwekwe ukomo…

Read More

Afariki dunia ndani ya basi akitoka Kilwa

Lindi. Rukia Saidi, mkazi wa Kijiji cha Pande, wilayani Kilwa amefariki dunia akiwa njiani kwenda kupata matibabu katika Hospitali ya Mkoa Sokoine. Tukio hilo limetokea mchana wa leo Jumanne Machi 11, 2025. Kaimu Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dk Shedrack Lusasi amethibitisha kupokewa mwili wa Rukia. Zakia Yusufu, mama mdogo wa marehemu akizungumza na waandishi…

Read More

WANANCHI MKOA WA MARA WATAKIWA KUTUMIA KWA USAHIHI MIKOPO

Na. Peter Haule na Josephine Majura, WF, Mara Katibu Tawala Mkoa wa Mara Gerald Kusaya amewataka wananchi wa mkoa huo kutumia mikopo inayotolewa na Serikali kwa manufaa na kuirejesha kwa wakati ili iweze kuwanufaisha wengine wenye uhitaji. Rai hiyo imetolewa Mkoani Mara, alipokutana na kufanya mazungumzo na Timu ya Wataalamu ya Elimu ya Fedha kutoka…

Read More

Upelelezi kesi mpya ya Boni Yai bado, Serikali yasubiri…

Dar es Salaam. Serikali imeieleza Mahakama bado inaendelea na uchunguzi katika kesi ya kusambaza taarifa za uongo inayomkabili Meya wa zamani wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai. Mshtakiwa huyo anakabiliwa na mashitaka mawili ya kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wake wa X (zamani Twitter). Kesi hiyo iliitwa leo Jumanne, Machi 11,…

Read More