
Rais Samia Amuonya Waziri Mchengerwa Kusimamia Mapato ya Serikali – Video – Global Publishers
Last updated Mar 11, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho ya Taasisi mbalimbali kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025. Rais…