
Bwana mkurugenzi mpya Twaweza akichukua nafasi ya Eyakuze
Dar es Salaam. Taasisi ya Twaweza Afrika Mashariki imetangaza uteuzi wa Anna Bwana kuwa Mkurugenzi Mtendaji wake mpya, kuanzia Mei 15, 2025. Bwana, mwenye uzoefu katika masuala ya utawala, anachukua nafasi ya Aidan Eyakuze, ambaye amekwenda kuiongoza Taasisi ya Open Government Partnership. Uteuzi wa Bwana unatokana na mchakato wa kuteua viongozi uliofanyika kwa kina, ukilenga…