WAFANYABIASHARA WA SOKO LA KARIAKOO WAPEWA SEMINA

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV SHIRIKA la Masoko ya Kariakoo limeendesha Semina ya Siku mbili kwa waliokuwa wafanyabiashara wa soko la Kariakoo ambao wanatarajiwa kurejeshwa ndani ya soko kufuatia kukamilika kwa mradi ujenzi na ukarabati wa soko. Akizungumza na waandishi wa habari katika Semina hiyo leo Machi 11,2025 Jijini Dar es Slaam, Afisa Uhusiano Mkuu…

Read More

Aliyeua mke, mtoto kuwafukia shambani ahukumiwa kifo

Arusha. Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Haridi Ntamoye, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mke pamoja na mtoto wake kisha kuwafukia kwenye shimo shambani kwao. Miili ya Ashura Moshi (mke) pamoja na mtoto wao, Alibika Khalid, iligunduliwa shambani humo ikiwa imeanza kuharibika. Hukumu hiyo imetolewa jana Machi 10,…

Read More

TANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO WA 62 WA BODI YA KIMATAIFA YA TEITI MACHI 13 – 14, 2025 JIJINI ARUSHA.

   Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi na Uwajibikaji katika usimamizi wa Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi Asilia Tanzania(TEITI) Bi. Mariam Mgaya,akitoa taarifa kuelekea Mkutano wa 62 wa Bodi ya Kimataifa ya TEITI utaotarajiwa kufanyika Machi 13 hadi 14 jijini Arusha. Na.Mwandishi Wetu _Dodoma.  Ikiwa zimebaki siku kadhaa kuelekea kufanyika kwa Mkutano wa 62…

Read More

Njaa tatizo kubwa kikapu, Dossi, Happy watimka

UKATA ndiyo sababu moja kuu inayofanya timu 11 zinazoshiriki Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), zisifanye vizuri kwa nyakati tofauti. Kukosa fedha za kusajili wachezaji na kukosa fedha kuendeshea timu kiujumla, vinafanya wachezaji wacheze kwa kujitolea.  Ukiondoa timu ya Dar City inayomilikiwa na mdau mmoja wa kikapu Mussa Mzenji, ndio angalau imekuwa…

Read More

Mmoja afariki, 33 wajeruhiwa ajali ya Coaster na katapila

Songwe. Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 33 kujeruhiwa katika ajali ya basi dogo aina ya Toyota Coaster lililogongana na katapila, iliyotokea jana mchana eneo la Msinde Wilaya Momba mkoani Songwe. Kamanda wa Polisi mkoani Songwe, Augustino Senga amesema ajali hiyo imetokea jana Machi 10, 2025 saa sita mchana ikihusisha gari aina ya Toyota Coaster…

Read More

Jinsi inavyofanya kazi, kwa nini ni muhimu na nini kitapotea ikiwa imeshindwa – maswala ya ulimwengu

Mkutano wa G20 Johannesburg utakuwa mkutano wa ishirini wa kikundi cha ishirini (G20), mkutano wa wakuu wa serikali na serikali iliyopangwa kufanywa kutoka 22 hadi 23 Novemba 2025. Itakuwa mkutano wa kwanza wa G20 uliofanyika Johannesburg, Afrika Kusini na bara la Afrika. Maoni na Danny Bradlow (Pretoria, Afrika Kusini) Jumanne, Machi 11, 2025 Huduma ya…

Read More

Mzize, Ateba ngoma nzito | Mwanaspoti

LIGI Kuu Bara inatarajiwa kuendelea Ijumaa hii kwa kiporo cha Simba dhidi ya Dodoma Jiji kupigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, lakini huku nyuma kuna vita nzito ya mastraika katika kufumania nyavu upinzani zaidi ukiwa kati ya Clement Mzize, Prince Dude na Leonel Ateba. Hadi sasa ligi ipo raundi  wa 23 na…

Read More