
Simba v TMA Shirikisho hii mechi ipo!
BAADA ya kushindwa kuchezwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo wikiendi iliyopita dhidi ya Yanga katika Ligi Kuu Bara, leo jioni Simba inatarajiwa kushuka uwanjani kuvaana na TMA Stars ya Arusha ukiwa ni mchezo wa hatua ya 32 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho (FA). Hii ni kati ya mechi tatu za michuano hiyo…