
Kwa nini muhimu shule kuwa na wanasaikolojia?
Lengo la adhabu huwa ni kutokomeza au kuondoa tabia isiyofaa kwa mwanafunzi au mtoto. Fimbo inapotumika mara nyingi huambatana na karipio, ambalo huondoa hali ya kujiamini kwa mwanafunzi au mtoto. Utafiti mwingi unaonesha mtoto anayekaripiwa mara nyingi huwa katika hatari ya kupoteza uwezo wa kujiamini na kujifunza kwa uhuru, kwa sababu anakuwa kwa sehemu kubwa…