
Gugu maji latishia ufugaji wa vizimba Ziwa Victoria
Mwanza. Ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ndani ya Ziwa Victoria umetajwa kuwa hatarini baada ya gugu maji jamii ya Salvinia SPP kuendelea kuzaliana kwa kasi. Gugu maji hilo lililobainika hivi karibuni linazaliana mara mbili hadi tatu kila baada ya siku nane, ndani ya Ziwa Victoria. Akizungumza wakati wa ziara ya kutembelea eneo la…