
AICC, PSSF WAINGIA MAKUBALIANO UJENZI WA UKUMBI MKUBWA WA KIMATAIFA
Na Seif Mangwangi,Arusha HATIMAYE kituo cha mikutano cha kimataifa cha AICC na shirika la hifadhi ya jamii la PSSSF zimeingia makubaliano ya kihistoria ya ujenzi wa kituo kikubwa cha mikutano Afrika kitakachogharimu zaidi ya Dola Milioni 500 fedha ambazo ni mkopo kutoka katika shirika hilo la hifadhi ya jamii. Ujenzi huo unaotarajiwa kukamilika ndani ya…