
Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kumuua mpenzi wake
Moshi. Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, mkoani Kilimanjaro imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Erasto Mollel (32) kwa kosa la kumuua mpenzi wake, Josephine Mngara (30) kwa kumpiga na jembe kichwani, kisha kuuchoma moto mwili wake kwenye pagale. Mbali na hukumu hiyo, mshtakiwa wa pili katika kesi hiyo, Samweli Mchaki ameachiwa huru na baada ya upande wa…