
Israel Yasitisha Usambazaji Wa Umeme Ukanda Wa Gaza – Global Publishers
Israel imesitisha usambazaji wa umeme katika Ukanda wa Gaza katika juhudi za kushinikiza Hamas kukubali kuongezwa muda wa awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano. Makubaliano hayo yalifikia ukomo mwishoni mwa wiki iliyopita, na hatua ya Israel inaweza kuwa na athari kubwa, hasa kwa mitambo ya kusafisha maji ya chumvi ambayo…