
Zitto: Prof Sarungi asingekubali Bodi ya Ligi kuahirisha Dabi ya Kariakoo
KIONGOZI Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kama Profesa Mzee Philemon Sarungi angekuwa hai, angekemea kwa ukali uamuzi wa kuahirisha mechi ya dabi kati ya Yanga na Simba iliyokuwa ichezwe Jumamosi, Machi 8, kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar es Salaam, akisisitiza uamuzi huo haukufaa kwa masilahi ya Ligi ya Tanzania. Zitto…