
Kamati Kuu Chadema kukutana Dar, Dk Slaa atajwa
Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), inakutana katika kikao maalumu cha siku mbili kuanzia leo Jumatatu Machi 10-11, 2025 kujadili masuala mbalimbali, ikiwemo usaili wa wagombea katika kanda ya Unguja. Kanda hiyo ni sehemu ya kanda 10 za Chadema ambazo nyingine tisa zimeshamaliza uchaguzi wake na ilibaki ya Unguja…