
RCC Tanga yabariki mgawanyo majimbo matatu ya uchaguzi
Tanga. Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Tanga (RCC) imeidhinisha mapendekezo ya kugawa majimbo matatu ya uchaguzi ya Kilindi, Muheza, na Handeni Vijijini, kuwa na majimbo mawili kila moja katika uchaguzi mkuu ujao utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Kwa mujibu wa mapendekezo hayo, Jimbo la Kilindi litagawanywa na kuongeza Jimbo jipya la Songe. Handeni Vijijini litakuwa…