
Fountain Gate Princess shida ni washambuliaji
KOCHA wa Fountain Gate Princess, Camil Mirambo amesema mashindano ya Samia Women Cup yaliyofanyika mkoani Arusha yamemuonyesha mwanga wa eneo lipi anapaswa kulifanyia kazi kwa haraka. Mashindano hayo yalifanyika Machi 4 hadi 7 yakijumuisha timu nne ambazo ni Yanga Princess iliyochukua ubingwa kwa kuitandika JKT Queens mabao 3-1, Simba Queens iliyomaliza nafasi ya tatu na…