
Utelekezaji familia: Tatizo ni mwanamke au mwanamume?
Mwanza. Tatizo la utelekezaji wa familia limeendelea kuwa mjadala usio na jawabu la moja kwa moja, huku pande zote mbiliwanaume na wanawake zikirushiana lawama. Kila kundi lina sababu zake, likidai kuwa upande mwingine ndio chanzo cha changamoto hii inayozidi kuathiri jamii. Wanawake wanaamini kuwa mzigo wa lawama unapaswa kubebwa na wanaume, wakidai kuwa wao ndio…