
DC Mpogolo aliomba Kanisa la FPCT kumwombea Rais Dk. Samia
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ameliomba Kanisa la Free Pentecostal Church of Tanzania (FPCT) kumwombea Rais Dk. Samia Suluhu Hassan na taifa zima kwa ujumla hasa wakati huu wa kuelekea katika Uchaguzi Mkuu. Mpogolo, ameyasema hayo, alimpomwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, katika ibada ya maalumu ya kumsimika…