
Vatican yatoa mwenendo afya ya Papa Francis
Roma. Vatican imesema Papa Francis anaendelea vyema na matibabu ya nimonia katika mapafu yote mawili huku akionesha maendeleo katika afya yake. Taarifa hiyo ya Vatican iliyotolewa leo Jumapili Machi 9, 2025, inaeleza kuwa, madaktari wake wameamua kuendelea kuwa waangalifu kuhusu hali yake, wakimaanisha bado hajaondoka kwenye hatari ya kiafya inayosababishwa na maambukizi hayo. Papa huyo…