
March 2025


Mambo sita anayohitaji kuyasikia mwanao
Kuna mtu aliwahi kunukuliwa akisema, ‘watoto ni watu wazima wenye miili midogo.’ Hakuwa amekosea. Huu ni ukweli ambao wengi wetu tunachelewa kuufanyia kazi. Ingawa hawawezi kusema wazi wazi, watoto wana mahitaji wasiyoweza kuyasema wazi, lakini tusipoyachukulia kwa uzito yanaweza kuleta madhara makubwa na kuharibu kabisa mwelekeo wa maisha yao. Unaweza, kwa mfano, kumwambia mtoto neno…

Rais Samia azindua mradi wa maji uliokwama miaka 19
Mwanga. Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua mradi mkubwa wa maji wa wilaya tatu za Same- Mwanga- Korogwe ambao utanufaisha wananchi zaidi ya 456,931. Mradi huo chanzo chake ni Bwawa la Nyumba ya Mungu, ulianza kutekelezwa mwaka 2014 na sasa awamu ya kwanza imekamilika ukiwa umegharimu zaidi ya Sh300 bilioni. Hatua hii imefikiwa baada…

ACT-Wazalendo kumshtaki DC wakimtuhumu kutumia madaraka vibaya
Unguja. Wakati Chama cha ACT- Wazalendo kikisema kinamshtaki Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A, Sadifa Juma Khamis kwa madai ya kuingilia mchakato wa uandikishaji daftari la mpiga kura na kuwaweka watu ndani, kiongozi huyo amesema yupo tayari kwenda mahakamani kwa kuwa, ndiko watakapopimana hoja zao. Akijibu tuhuma hizo baada ya kupigiwa simu na mwandishi wa…

Mido Biashara United akiri mambo magumu
KIUNGO mshambuliaji wa Biashara United, Pascas Wagana amesema wana kazi kubwa ya kukipambania kikosi hicho kubakia Ligi ya Championship, baada ya malengo ya awali ya kuirejesha Ligi Kuu Bara kuota mbawa. Akizungumza na Mwanaspoti, Wagana aliyewahi kuichezea pia Mbuni FC ya jijini Arusha, alisema kitendo cha kukatwa pointi 15, huku aliyekuwa rais na mfadhili wa…

Ndoa ya ‘majuu ilivyomtesa Aziz
Aziz ni kijana wa miaka 24 wa Kipalestina aliyekimbia udhalilishaji kwao akaishia kudhalilika majuu. Kisa hiki kinafikirisha, kusikitisha na kufundisha. Wapo wengi kama Aziz walioharibikiwa baada ya kuolewa wakidhani wameoa majuu. Aziz, akiwa hajui hata Kiingereza, alijikuta akijiingiza kwenye ndoa ya mateso. Nkwazi alimjua Aziz. Alikuwa rafiki wa kaka yake aliyemlalamikia kuwa mdogo wake alikuwa…

Wikendi ya Kutusua Kijanja Imefika
HATIMAYE leo hii ni siku ya wewe kuondoka na kitita cha mkwanja ndani ya Meridianbet ambapo mechi kibao za pesa zipo uwanjani kukupatia maokoto. Ingia Meridianbet na ubashiri sasa. Tukianza na ligi kuuu pendwa Duniani pale Uingereza yaani EPL leo hii mapema kabisa Manchester City watakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Nottingham Forest ambapo mechi ya…

Matano agusia mambo mawili Ligi Kuu Bara
BAADA ya kukusanya pointi sita kwenye mechi mbili mfululizo nyumbani na ugenini, kocha mkuu wa Fountain Gate, Robert Matano amesema nafasi ya kushuka au kupanda katika nafasi kwa timu zote ni kubwa na bado inatishia mwelekeo wa Ligi Kuu Bara. Matano ameiongoza Fountain Gate kwenye mechi saba baada ya kukabidhiwa mikoba ya Mohamed Muya ambaye…

Bashiri na Meridian bet Leo – Global Publishers
Mechi kali leo hii Duniani zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za leo. Ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1 kama kawaida kitawaka leo ambapo Brest ataumana dhidi ya Angers huku tofauti yao ni pointi 6 pekee. Kila…

Ujumbe kwa wanawake wafanyakazi, watafutaji
Ninaposema mfanyakazi si lazima aliyeajiriwa na kusubiri mshahara wa mwisho wa mwezi, kuna wale ambao wamejiajiri wakifanya shughuli za hapa na pale zinazowasaidia kuendesha maisha yao na familia zao kwa ujumla. Awali kundi hili halikuwa kubwa, zamani jukumu kubwa lilikuwa kuhudumia familia, baba akienda kutafuta mama anabaki nyumbani kuangalia watoto na kuhakikisha kila kitu kinakwenda….