
DHAMIRA YA RAIS SAMIA KUJENGA CHUO KIKUU SONGEA KUANZA KUTEKELEZWA
Na Albano Midelo,Songea Meneja wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Kampasi ya Songea, Dkt. Bakari Mashaka, amesema wanatarajia kuanza mradi mkubwa wa ujenzi wa chuo kitakachokuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 10,000 wa kozi mbalimbali katika kata ya shule ya Tanga Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma. Dkt. Bakari Mashaka amebainisha kuwa chuo hicho…