
Mwalwisi arejesha majeshi Mbeya Kwanza
ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa TMA, Maka Mwalwisi amerejea kukifundisha kikosi cha Mbeya Kwanza katika michezo iliyobakia, akichukua nafasi iliyoachwa na Emmanuel Masawe aliyeanza nacho msimu huu wa Ligi ya Championship. Akizungumza na Mwanaspoti, Mwalwisi alisema anajisikia furaha kurejea ndani ya kikosi hicho alichowahi kukifundisha miaka ya nyuma, huku akiwataka viongozi na mashabiki kuendelea kumuunga mkono…