
Maswali 7 Dabi ya Kariakoo kuahirishwa
KITENDO cha Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Bara (TPLB) kutangaza kuahirisha mchezo wa Kariakoo Dabi kati ya Yanga na Simba, kimeacha maswali mengi na kuzua mijadala kuanzia mtaani hadi katika mitandao ya kijamii. Kabla ya TPLB kutoa taarifa ya kuahirishwa kwa mchezo huo jana saa 7:53 mchana, tayari Simba ilitoa tamko la…