
Sakata la Simba kugomea dabi lamuibua Muro, aitaka TPLB kufungiwa milele
ALIYEKUWA Ofisa Habari wa Yanga, Jerry Muro amesikitishwa na kitendo cha mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Simba uliopaswa kuchezwa leo kushindwa kuchezwa, huku akiitaka Bodi ya Ligi (TPLB), kufungiwa milele kwa kushindwa kusimamia. Kupitia mtandao wake wa kijamii, Muro aliandika; “Mechi ya Yanga na Simba imekuwa ikitumika kama sehemu ya kilele…