
Chanzo watendaji SMZ kutoelewana ofisini chatajwa
Unguja. Licha ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi kukemea viongozi wa umma kugombana ofisi, bado changamoto hiyo imeendelea kuibuka na kukwamisha kazi za umma. Akizungumza katika kongamano la pili la kiimani kwa viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) lililofanyika ukumbi wa Idrissa Abdulwakil Kikwajuni, Zanzibar…