
UCHAMBUZI WA MJEMA: Tulinde utawala wa sheria, utekaji ni zao la kutepeta kwake
Dhana ya utawala wa sheria ambayo Tanzania tunaiheshimu na kuifuata japo sio kwa asilimia 100, inasisitiza hakuna mtu au taasisi iliyo juu ya sheria au nje ya sheria, lakini sasa hivi tunaona kama utawala wa siasa unashika hatamu. Tukiacha siasa itawale badala ya sheria, utekelezaji wa sheria bila woga wala upendeleo unasahauliwa na itakuwa ni…